Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
MKUTANO WA KATIBU WA NEC ITIKADI , UENEZI NA MAFUNZO NA WAANDISHI WA HABARI
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla Kesho Tarehe 7 Januari, 2025 kuanzia saa 5:00 Asubuhi atafanya mkutano na waandishi wa Habari ukumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM Dodoma.
#CCMImara #KaziIendelee
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.